MADHARA YA KUPIGA PUNYETO (KWA MUDA MREFU)
Najua wewe hujawahi kufanya, ila umewahi kusikia kuhusu neno hili (PUNYETO).
Sijui umesikia katika mrengo gani hasa kati ya faida au hasara. Lakini hapa leo tutazungumzia madhara ya punyeto kwa mwenye kudumu kwa muda mrefu.
Mada yetu itasimama katika vipengele vitano ambavyo ni hivi:
1. PUNYETO NINI?
2. NJIA ZA PUNYETO
3. VISABABISHI
4. MADHARA
5. TIBA
1. PUNYETO NI NINI?
Kwa kiswahili fasaha tunasema
Punyeto ni usuguaji wa tupu ya mbele kwa kutumia mkono au mashine ili kutoa manii kama njia ya kujiridhisha kimapenzi.
2. NJIA ZA PUNYETO
Japo asili au njia kuu ya punyeto ni mkono lakini kutokana na ubunifu wa binadamu katika kukidhi mahitaji yake ya kimwili, kumekuwa na aina kadhaa za punyeto.
Hizi ni pamoja na:-
a. MKONO
Hii ndio njia ambayo hutumiwa na watu wengi zaidi katika kukidhi haja za kimwili. Katika njia hutumia vilainishi kama vile mafuta, sabuni, mate na kadhalika.
Asilimia kubwa ya waliyowahi au wanashiriki mchezo huu hutumia njia hii kwa asilimia kubwa.
b. MTO (PILLOW)
Hii hutumika zaidi pale ambapo mtu yupo kitandani hasa baada ya kuamka usingizini.
Mto hutumika kama mwanamke kwa kuuweka katikati ya mapaja na kuanza kuvuta hisia za mapenzi na hatimaye kufikia lengo.
c. KUUBANA UUME KATIKA MAPAJA
Hapa mtu huubana uume wake kwa kutumia mapaja na kipata joto hatimaye kufika kileleni. Hii mara nyingi hutumika pale ambapo mtu ana hisia nyingi kupita kiasi. Basi akibana tu mapaja hukojoa hapo hapo.
NB:
Mara nyingi ili kufanikisha zoezi la punyeto kwa haraka ni lazima kuwe na kuchochezi kama vile hisia, picha au video za ngono.
Unaweza kujiuliza ni kwanini mtu anafikia au anaamua kuingia katika kadhia hii ya kujichua?
Kwanini watu wanapiga punyeto?
Kutokana na kikao ambacho tulikaa vijana watatu na kujadili suala hili tulikuja na majibu haya.
VISABABISHI VYA PUNYETO
Mara nyingi kila jambo huwa na sababu zake. Na hapa tutaona sababu ambazo humpelekea mtu kuingia punyetoni.
a) MAZINGIRA
Zuala la mazingira ni pana kwa namna yake. Na miongoni mwa mazingira ambayo yanaweza kumfanya mtu kutumbukia katika janga la punyeto ni watu ambao anaishi nao / aliishi nao.
Lakini pia mazingira yenye hanasa kama vile kukithiri kwa wanawake wanaovaa nusu uchi, kuishi nyumba za uswahilini ambazo miguno ya mahaba husikika kutoka kwa jirani na mengine mengi.
b) KUTAZAMA PICHA ZA NGONO
Kumekuwa na ongezeko kubwa
la picha za ngono ulimenguni.
Hii ni miongoni mwa sababu kubwa ambazo
huwapelekea watu (hasa vijana) kujichua na
kujimaliza wenyewe pindi wawapo faragha.
c) PEPO WACHAFU
Baadhi ya watu wametawaliwa ama kukumbwa na mashetani wachafu ambao huwapelekea katika tabia hizi chafu.
d) KUTORIDHISHWA NA WENZA WAO
Kutoridhika katika tendo la ndoa
na mpenzi wako kunaweza kukupelekea katika
tabia hii ya punyeto ili kukamilisha zoezi
la kujiridhisha kikamilifu.
Hii inaweza kutokea kwa watu wote wanawake na wanaume.
e) Upweke
Upweke unaweza kutokana na vitu vingi kama vile kuachwa, kukataliwa na mengineyo.
Kijana anaweza kujikuta anaangukia katika upigaji wa puli / puchu / punyeto.
MADHARA YA PUNYETO
Ingawa kuna watu hudai kuwa punyeto haina madhara,
lakini wanasayansi wamegundua baadhi
ya matatizo ambayo hutokana na punyeto.
Mbali na wanasayansi pia baadhi
ya watu ni mashuhuda juu ya madhara ya jambo hili.
Lakini madhara haya ni kwa wale ambao
wamedumu kwa muda mrefu zaidi ya mwaka mmoja.
i) UUME KUWA LEGELEGE
Kwakuwa suala la punyeto huhusika zaidi na usuguaji wa mishipa ya uume, hivyo hupelekea michubuko katika na hatimaye uume kuwa legelege pindi unapo simama.
Hii hupelekea pia upungufu wa nguvu za kiume kwa baadhi ya watu au kupelekea pia kutokuweza kurudia tendo la ndoa.
ii) KUWAHI KUFIKA KILELENI
Hii ni kwasababu mtu aliezoea kujichua huwa anajikadiria mwenyewe hisia zake, hivyo anapokutana na mwanamke ni rahisi kumwaga manii kwasababu anashindwa kuji control.
Lakini pia joto analoloipata kwenye mkono wake ni tofauti na uke wa mwanamke hivyo anaweza kujikuta anawahi kufiika kileleni.
iii) KUKOSA NGUVU
Mbali na akili nyingi ambayo hutumika wakati
wa kujichua kutokana na kitendo hiki
kushirikisha zaidi ubongo, lakini pia
misuli ya mwili nayo hutumika katika
kuhakikisha zoezi linakamilika ipasavyo.
Hii huchangia katika kupunguza
nguvu za mwili.
Hasa kwa vijana wa kiume ambao
wameathirika sana na punyeto wanakuwa
dhaifu sana hasa maeneo ya viungo kama magoti,
mikono na mwili kwa ujumla.
iv) KUTOJIAMINI
Hasa mbele ya wanawake.
Mtu ambaye amezowea kujichua
mara nyingi huwa hana kazi na wanawake
kwani haja zake hujimaliza
mwenyewe.
Kwa upande wa wanawake nao ni
hivyo hivyo anaweza kutohitaji mwanaume
au mwanaume ambaye hatomridhisha
humdharau sana.
Miongoni mwa madhara ni pamoja na
v) Maumivu ya ngonga na viungo kwa ujumla.
vi) Uwezekano wa kupungua kwa mbegu za kiume na uwezekano wa kupata mtoto.
TIBA YA KUACHA PUNYETO
Utakubaliana nami kuwa kila ugonjwa una tiba,
kwa kua na punyeto ni ugonjwa basi hapa nitakupa
tiba zake na kama upo tayari utafanikiwa kabisa kuacha punyeto.
1. Kuwa tayari
Kitu cha kwanza na muhimu na ambacho ni kigumu kidogo ni kuwa tayari katika akili yako kuwa unaachana na punyeto.
Tambua madhara yake kutoka moyoni mwako kwanza ndipo utafanikiwa kuachana na janga hili.
2. Wacha kuangalia ngono
Kwakuwa ngono ndio kichocheo
kikubwa cha punyeto unatakiwa kuacha kabisa
kuangalia kwani mwisho wa siku utarudi
kule kule na tatizo litaendelea.
Sambamba na hayo pia fanya mambo haya ili kuacha punyeto
3. Kuwa na mpenzi / mke
4. Fanya mazoezi
5. Kula matunda na mboga mboga
6. Pata muda wa kupumzika
7. Epuka kukaa peke yako mda mrefu
- NENO LA MWISHO
Wapo ambao wanadai kuwa punyeto
haina madhara, huenda ni kwa upande
wao au kutaka kuficha aibu zao.
Ila kiukweli kabisa kama utadumu kwa muda
mrefu ni lazima ukutane na moja au baadhi
ya madhara ambayo tumeyataja.
Lakini pia katika dini yetu ya ki Kristo
suala hili limekatazwa na ni haramu kabisa.
Hivyo kama hauhofii madhara
basi muogope Mungu.
Kwa ushauli na TIBA, Wasiliana nami kwa njia ya WhatsApp/Call
👇👇
📞+255745125063
Asante kwa kuwa nasi🙏
Comments
Post a Comment