N4S Sweetener

 _Product Name_

N4s Sweetener


_Price_

30000 TSh/120 g


NAKUPA SABABU KUMI ZA KWANINI UTUMIE N4S BADALA YA SUKARI YA VIWANDANI.


1.Sukari huongeza hatari ya kupata kisukari.

2.Sukari inaweza kuharibu moyo

3.Sukari ni Muaji wa Kimya Kimya.

4.Sukari inachangia uzalishaji wa saratani Na Inaweza kuathiri uwezo wa kuishi kwa mgonjwa wa Saratani. 

5.Sukari huchochea msongo wa mawazo.

6.Sukari na Pombe zina sumu inaofanana ambao inaathiri utendaji kazi wa ini mwilini.

7.Sukari Inaweza kudhoofisha nguvu ya ubongo wako.

8.Sukari Husababisha kuoza kwa meno.

9.Sukari huchochea kasi ya kuzeeka.

10.Sukari husababisha kuongezeka uzito.


EDMARK SWEETENER ( N4S) Hii ni sukari iliyotengenezwa na SUCRALOSE.


Sukari hii haina kiwango chochote cha KALORI WALA WANGA.


Hivyo inaweza kutumiwa na mtu yeyote yule.


Sukari hii ni nzuri sana kwa WAGONJWA WA KISUKARI.


Sukari hii ni nzuri kwani haibaki mwilini pia inamengenywa kwa urahisi hivyo ni salama kwa Afya zetu.


Sukari hii huzuia meno kuoza.


Inaweza kutumiwa na:

-watoto.

-watu wazima.

- wanaopunguza uzito


Inaweza kutumika kupikia au kuokea vyakula kama keki,mkate, maandazi nk....Kwa sababu ni tamu mala 600Zaidi ya Sukari ya kawaida


KWA MATUMIZI YA CHAI TONE MOJA TU NDIO LA KUTUMIA KWENYE KIKOMBE 1, 


_Order Now_



Kwa kutuma ujumbe kwenda whatsapp number

+255745125063

Comments

Post a Comment