π•Šπ”Έπ”Ήπ”Έπ”Ήπ•Œ ℀𝔸 π•„π”Έπ•Œπ•„π•€π•π•Œ π•Œπ•‚π”Όβ„•π•€


π•Šπ”Έπ”Ήπ”Έπ”Ήπ•Œ ℀𝔸 π•„π”Έπ•Œπ•„π•€π•π•Œ π•Œπ•‚π”Όβ„•π•€


πŸ”–πŸ”– π•Šπ”Έπ”Ήπ”Έπ”Ήπ•Œ ℀𝔸 π•„π”Έπ•Œπ•„π•€π•π•Œ π•Œπ•‚π”Όβ„•π•€ π•Žπ”Έπ•‚π”Έπ•‹π•€ π•Žπ”Έ 𝕋𝔼ℕ𝔻𝕆 𝕃𝔸 ℕ𝔻𝕆𝔸 πŸ”–πŸ”–

πŸ’• Habari tena ndugu na mfatiliaji wa AFYA na DMARK,
tunatoa shukrani za dhati kwa kua nasi kwa wakati huu.

Ni siku nyingine tena na tunakuja na mada mpya zaidi inayoelezea vyanzo vya maumivu katika uke wakati kufanya mapenzi...

Kwa leo tutaongelea kwa kuwaeleza kuwa kuna sabau nyingi mno ambazo zinaweza kusababisha maumivu katika uke, 
na basi kama hauzifahamu endelea kuwa nami hapa ili uzitambue..

πŸŽ—οΈMoja ya sababu kuu inayopelekea mwanamke kujiikia maumivu wakati akifanya mapenzi na mwenza wake..
Lakini kabla sijahifafanua vizuri sababu hii basi ni
vizuri tu ukajua hakuna mwanaume anaweza kumuumiza mwanamke eti tu kwasababu uume wake ni mkubwa, hapana maana uke wa mwanamke umeumbwa kuwa na urefu mno takribani cm 30 na vile hutanuka kulingana na saizi ya uume unaoingia wakati wa kujamiiana, 
hivyo basi hii si sababu ya mwanamke kuumia labda tu akiwa bado ni bikra ndo kwa mara ya kwanza ataumia akiwa anafanya mapenzi lakini vinginevyo kunasababu kama zifuatavyo..

>>>Michubuko sehemu za uke.

πŸŽ—οΈHii ni sababu ambayo inaweza kupelekea mwanamke kupata maumivu makali wakati wa kufanya tendo na si hivyo tu bali hata maambukizi ya magonjwa inakuwa ni rahisi mno kutokana na hiyo michubuko.... 
na vile vile maumivu haya yanweza kupunguza hisia za kufanya tendo la ndoa.

>>>Kufanya mapenzi ukiwa haupo tayari.

πŸŽ—οΈMaandalizi ya mwanzo hufanya maji maji kutoka katika uke na hivyo kulainisha kuta za uke na pale tu pindi uume utakapokuwa unaingia basi hutapata maumivu yoyote..
Ila kama umelazimishwa au si kwa hiyari yako basi maandalizi haya yatakuwa hafifu na hivyo kupelekea uke kuwa mkavu na baadae msuguano utampa mwanamke maumivu makali katika uke wake..

>>>Pia kuingiza uume kwa pupa 
katika kisiwa cha burudani(kufanya tendo la ndoa) 
huchangia mwanamke kujisikia maumivu makali.

πŸŽ—οΈikiwa tu utakuwa na pupa na mpenzi wako akiwa ajafikia ile hatua ya kukuhitaji kuingiliwa kwalengo la kula raha na utamu, 
basi tambua hali hii itapelekea karaha na maumivu kwa mwenzako. 

πŸŽ—οΈKwa leo tuishie hapo, 
ila zipo sababu nyingi sana zinazopelekea maumivu wakati wa kujamiiana na hizo hapo juu ni baadhi unaweza kushare zile unazozijua katika box letu la comment hapo ili kukuza elimu hii ya mapenzi na afya na kusaidia watu kujisikia raha kamili wakati wa tendo la ndoa. 

Kwa huduma juu ya tatizo la maumivu ukeni wakati wa tendo la ndoa, unashauliwa kutumia:

Shake off, 
Cafe 73, 
Red Yeast Coffee, 
Red Bubble Tea na Splina Chlorophyll Soap kuondokana na tatizo lako.

Endelea kuwa nami hapa kwa habari kali zaidi. 

Imeandikwa na Β©Sam 
 
WhatsApp or Call 
+255745125063 

Au weka 
_Order Now_
 https://beautycosmetics-and-personal-care-yp00z.whats.bz/#/store/product/560060

Comments