Wakati mwingine unachohitaji sio MTAJI WA ZIADA ama RASILIMALI ZA ZIADA bali unahitaji UJASIRI WA ZIADA.
Ujasiri wa KUAMINI UNACHOKIONA MOYONI zaidi ya ULICHONACHO MKONONI.
Ujasiri wa KUENDELEA KUSEMA NDOTO YAKO Kubwa wakati dalili zinaonyesha UMESHAFELI na HAUTAINUKA TENA.
Ujasiri wa KUJARIBU KUFANYA tena hata kama ulishajiapiza kuwa HAITARUDIA TENA kutokana na MAUMIVU ambayo uliyapitia.
Ujasiri wa KUKATAA kuishi kawaida wakati UNAJUA kuwa una UWEZO Mkubwa sana.
UJASIRI wa kutoamini katika vitu vinavyokuwekea MIPAKA (LIMITATIONS) na Kuamua kufanya bila kusubiria kila Kitu Mkwe sawa.
Je, wewe unao UJASIRI WA ZIADA?
wa.me/255745125063
http://mysamblogsaddressat.blogspot.com/2021/10/edmark-ginseng-coffee.html
Comments
Post a Comment